Kikwete Aaga Kwa Kusamehe Wafungwa 4,160

RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha
kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa
Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
Dk Magufuli aliapishwa jana kuwa Rais wa Tano wa Tanzania katika sherehe
zilizofana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam huku Kikwete akimaliza
miaka yake 10 ya kuongoza nchi kama ilivyoelekezwa na Katiba.
Kwa...
Thursday, November 5, 2015
Kazi Imeanza: Rais Magufuli Amteua George Masaju Kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali

Saa chache baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Magufuli ameanza kazi kwa kasi zaidi ambap leo hii ameanza
kazi kwa kumteua mwanasharia mkuu na kuitisha bunge.
Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya serikali katika viwanja
vya Ikulu Jijijini Dar es salaam katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni
Sefue amesema kuwa Rais Magufuli amaenza kazi leo hii...
Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa

John Pombe Joseph Magufuli (56) ameapishwa mapema leo kuwa Rais wa tano
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Baada ya kuapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Jaji Othaman Chande Rais
John Magufuli alitoa neno la shukrani kwa watanzania na kuwataka
washindani wake saba waliokuwa wakichuana katika uchaguzi mkuu
uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu kuweka ...
Dkt. Magufuli Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania

Hatimaye, Dkt. John Magufuli ameapishwa rasmi na kuwa Rais wa
serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
akihitimisha rasmi uongozi wa serikali ya awamu ya nne iliyoongozwa na
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Rais Magufuli na makamu wake Bi.
Samia Suluhu wamekula kiapo leo katika sherehe zilizofanyika katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mbele ya viongozi...
Mawaziri Waagizwa Kurejesha Ikulu Magari ya Serikali leo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza Mawaziri na Naibu
Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John
Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa uongozi.
Jana Balozi Sefue alisema baada ya Bendera ya Rais kuteremshwa na kabla
Bendera ya Rais mpya kupandishwa, magari ya mawaziri na Naibu Mawaziri,
yatabadilishwa namba kwa kuondoa herufi ya...
Tanzania Ya VIWANDA Kuanza Rasmi Leo...... Dunia Kushuhudia Kiapo Cha Magufuli

Hatimaye Tanzania inatarajia kuanza safari mpya ya mabadiliko ya kweli
masaa machache yajayo baada ya Rais Mteule Dkt. John Magufuli kuapishwa
jijini Dar es Salaam, zoezi litakalo hitimisha uongozi wa Rais Jakaya
Kikwete.
Kuapishwa kwa Dkt. Magufuli kutafungua ukarasa mpya wa Tanzania ya
Viwanda aliyoiahidi katika kila jukwaa alilopanda kuwaomba kura
watanzania katika maeneo mbalimbali, “Tanzania...
T.B Joshua Akutana na UKAWA Kwa Lowassa

Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, T. B. Joshua (shati la
miraba), akizungumza jambo na wenyeji wake, aliekuwa Mgombea Urais wa
Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa
na viongozi wakuu wa UKAWA,Freeman Mbowe, James Mbatia pamoja na
mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati
alipofika nyumbani kwa Lowassa, Masaki jijini...
Wednesday, November 4, 2015
Mbowe: UKAWA na wapenda Mabadiliko, Hatutahudhuria Sherehe za Kuapishwa Dr. Magufuli

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni
Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe
amesema kuwa hawatashiriki shughuli ya kuapishwa kwa Dk. John Pombe
Magufuli inayotarajiwa kufanyika Alhamis, Novemba 5, 2015.
Kauli hiyo ya Mwenyekiti Mbowe aliyoitoa leo, imekuja wakati kukiwa bado
kuna sintofahamu...
Jukwaa la Wahariri Walaani Tukio la Kuzomewa Dk Reginald Mengi na Wafuasi wa CCM

JUKWAA la Wahariri (TEF), limelaani kitendo cha kuzomewa na
kudhalilishwa kwa waandishi wa habari wa ITV, katika Ofisi Ndogo za
Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, Oktoba 30 mwaka huu.
Akizungunza na waandishi wa habari Katibu wa Jukwaa hilo, Neville Meena
amesema kuwa kitendo hicho si cha kukaliwa kimya kutokana na kukwaza
utendaji wa kazi na kudhalilisha utu wa waandishi hao mbele ya jamii.
Meena...
Asimilia 82 ya Wanafunzi Wakosa Mikopo 2015/16

Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya
juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya
wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016,
huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza...
Wema Sepetu Amtusi Diamond Baada Ya Kununua Gari La Milioni 200 ( Range Rover )

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameangusha bethidei baab’kubwa ambayo
imesheheni kufuru ya aina yake na ‘kumtusi’ hadharani mpenzi wake wa
zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumsema kuwa ni mtu wa kununua magari
ya bei rahisi hivyo hawezi kuifikia hadhi yake.
Sherehe hiyo iliyosheheni mastaa kibao Bongo, ilifanyika katika ukumbi
wa Wema Sepetu uliopo ndani ya jengo la Millenium Towers, Kijitonyama...
Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar
Kesho Alhamisi, Novemba 5, Ni Sikuu Na Mapumziko.......Rais Kikwete ametangaza Mapumziko ili Kuikaribisha Serikali Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka
huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania
kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya
Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
kuwa...
No comments:
Post a Comment